Kusaja
Senior Member
- Oct 28, 2012
- 114
- 42
Ajira mpya za Walimu ni utata.
Kutokana na kutokuwa n uhakika wa budget hatimae jana wizara hizi zimeamua kufikia uamuzi ambapo pesa zilizo kuwa na mvutano kuhusu ajira mpya za walimu zimekubaliwa kutoka ingawa bado hazijatilewa hivyo serikali kutangza ajira 36000 pamoja na pesa za mafunzo kwa vitendo ambazo zinatakiwa kutumwa vyuoni mapema wiki ijayo ,lakini taarifa zilizopo ni kwamba imebaki awamu moja tu ya ajira ambayo ni 2014/2015.hivyo yale maamuzi amabyo yalifikia awali yamebatilishwa baada ya uhakika wa pesa kutoka hazina.hivyo mwezi wa tatu walimu watarajie kuanza kuajiriwa,
mwalimu wenu, Taarifa ya ajira zenu hii hapa