Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

Kusaja

Senior Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
114
Reaction score
42
Ajira mpya za Walimu ni utata.

Kutokana na kutokuwa n uhakika wa budget hatimae jana wizara hizi zimeamua kufikia uamuzi ambapo pesa zilizo kuwa na mvutano kuhusu ajira mpya za walimu zimekubaliwa kutoka ingawa bado hazijatilewa hivyo serikali kutangza ajira 36000 pamoja na pesa za mafunzo kwa vitendo ambazo zinatakiwa kutumwa vyuoni mapema wiki ijayo ,lakini taarifa zilizopo ni kwamba imebaki awamu moja tu ya ajira ambayo ni 2014/2015.hivyo yale maamuzi amabyo yalifikia awali yamebatilishwa baada ya uhakika wa pesa kutoka hazina.hivyo mwezi wa tatu walimu watarajie kuanza kuajiriwa,

mwalimu wenu, Taarifa ya ajira zenu hii hapa

attachment.php
 
Habari za Uhakika kutoka TAMISEMI zinasema kuwa Serikali kuu imetoa kibali cha Ajira Mpya za Walimu mwaka 2014.Taarifa zaidi zinaeleza kwamba Halmashauri zimeombwa kuanza maandalizi ya Kupokea Walimu wapya kuanzia tarehe 10 March.Majina ya Walimu wapya yatatolewa tarehe 26 February na tarehe ya kuripoti ni 10/03/2014-19/03/2014.Source Afisa Tamisemi.

Lakini unajua kuwa leo ni February 25.? Remains 24 hours only.
 
acha kushtua watu mkuu ujue siku hiz presha hata kwa vijana ipo
 
Habari za Uhakika kutoka TAMISEMI zinasema kuwa Serikali kuu imetoa kibali cha Ajira Mpya za Walimu mwaka 2014.Taarifa zaidi zinaeleza kwamba Halmashauri zimeombwa kuanza maandalizi ya Kupokea Walimu wapya kuanzia tarehe 10 March.Majina ya Walimu wapya yatatolewa tarehe 26 February na tarehe ya kuripoti ni 10/03/2014-19/03/2014.Source Afisa Tamisemi.
hii habari ya uongo kabisaaaaaa na hakuna kitu kama hicho.usidanganye watu mkuu!
 
Duu tunafarijiana tu ili siku ziende hakuna kitu km hicho ajira had april mosi tuvute subira
 
kuna mtu wangu wa wizara kanitonya kuwa post week hii mtapata ajira madogo pia hatutaki story za sijui wamenitupa polini ndo mkakomae
 
Cna hakika na hz habar! kwa nnavofaham serikari uwa inaajiri kuanzia trh yeyote bt lazma iwe ni trh 1, Mwez wowote labda cjuh na nnavojua post zitatoka kuanzia mach 17
 
mmmmmmmh!! Tumesulubishwa sana,tumedharirishwa sana,tumevumilia sana!!haha! Poleni walimu soon mtakula mema ya nchi!!
 
Back
Top Bottom