Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Hatua njema mno....Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege za Mafunzo ya awali kwa marubani na Mabasi ya Usafirishaji vyote kwa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
View attachment 3084574
Ni amiri jeshi wa majeshi ya ulinzi. Sio ..wa ulinzi na usalama. Civics ya kidato cha kwanza imefundisha hilo lakini unakuta hadi msemaji wa ikulu naye anaandika kitu ambacho hakipo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege za Mafunzo ya awali kwa marubani na Mabasi ya Usafirishaji vyote kwa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
View attachment 3084574
KwannBaada ya mwaka ni screpa
[emoji2956]Yaani Bongo Kila jambo ni kukosoa. Hata kama si kweli mlitaka tununue haya magari kutoka wapi?
Yatapigwa mnada kwa bei chee, halaf utayaona barabarani yakibeba abiriaBaada ya mwaka ni screpa