Serikali yatoa ndege za mafunzo ya awali kwa marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

Serikali yatoa ndege za mafunzo ya awali kwa marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege za Mafunzo ya awali kwa marubani na Mabasi ya Usafirishaji vyote kwa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

Pia soma: Rais Samia akitunuku Nishani ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

IMG-20240901-WA0211.jpg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege za Mafunzo ya awali kwa marubani na Mabasi ya Usafirishaji vyote kwa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
View attachment 3084574
Hatua njema mno....

Mh.Rais Samia anaendelea kuboresha TAASISI zetu za dola....

Kudos chifu Hangaya [emoji7][emoji7][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege za Mafunzo ya awali kwa marubani na Mabasi ya Usafirishaji vyote kwa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
View attachment 3084574
Ni amiri jeshi wa majeshi ya ulinzi. Sio ..wa ulinzi na usalama. Civics ya kidato cha kwanza imefundisha hilo lakini unakuta hadi msemaji wa ikulu naye anaandika kitu ambacho hakipo.
 
Haya ndiyo mambo...

Ahongereke aliyetoa ushauri huo...

Kudos[emoji2956]

Wachina ni marafiki zetu....tunashea nao IMANI ya kijamaa.....

#El Commandante Mao Tse Tung bado anaishi[emoji2956]
 
Yaani Bongo Kila jambo ni kukosoa. Hata kama si kweli mlitaka tununue haya magari kutoka wapi?
 
Umewezaje kupiga picha mali za jeshi? Kipindi cha jiwe kuna mali aliwapa jeshi na stor zake zikaishia hapo. Nadhani ni kivuko kama sikosei. Mtanikumbusha hapa.
 
Back
Top Bottom