Serikali yatoa siku 3 FCC itoe ripoti kwanini bei za Soda zimepanda, pia imetoa siku 7 ijulishwe kwanini Vifaa vya Ujenzi vimepanda Bei

Katiba inasema Rais angalau awe na degree

Lakn samia elimu yake n utata watu tunalifumbia macho hili

Tutaendeshwa Sana na Hawa wasio na elimu

Hawez kukemea sababu uwezo wake n mdogo kifup hajui chochote

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Itakuwa bei imepanda baada ya wadada wa mjini kuanza kuzitumia kukata kiu zao 😁😁
 
Acha matusi koko wewe....

Nchi si jalala....wenye PhD's na sifa nyinginezo ndio waliofanya vetting na kumuona anafaa kuwa Rais wetu.....

#Siempre JMT🙏
 
Sio soda tu hata maji saiv ni ya shida ,, waulize wanaofanya biashara ya vinywaj vya jumla.

Nina rafk yangu anafanya biashara hii anasema hali ni tete, Kuanzia mwezi Dec maji na soda ni adimu ukitaka maji unatoa order unaweza letewa baada hata ya wiki au siku 5 wakati zaman gari kila siku zilikua zinaleta maji,, kiufupi tu hakuna biashara hii nchi sijui tatizo ni nini?

Wanaosambaza soda sasa wanaringa unaweza agiza soda labda peps kret 100 cha ajabu wakaja na mirinda tupu
 
Kwani bidhaa kupanda bei inawahusu mataga? Wao hawahusiki; mapimzani yanasomeshwa namba kweli kweli! Jamani let's sit and discuss how to run our nation kwa pamoja; hamtaki!
 
Kwenye vifaa vya ujenzi ali ni mbaya
 
Kwani coca cola wapo na kiwanda kimoja kwa Tanzania nzima? Vipi mbeya kilikufa? Pia Moshi?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Msoga crew aka wapigaji wameshika usukani
 

Ina maana yeye hakuwepo bungeni wakati sheria za kodi zinapitishwa na budget ya kupanda kwa kodi na ongezeko la kodi linafanyika? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi navyo ni vituko!
 
Siku hiz wengi wanaogopa majuice ya viwandani.maji yananyweka zaidi.

Hata wangefunga kabisa hayo majuice masoda yenye misukari ya kuokoteza.inaongezea serkali gharama za matibabu
 
itakuwa wana mpango wa kupandisha bei iwe 600 au 700,
 
Hakuna lolote SIASA TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…