Serikali yatoa Ufafanuzi kuhusu Fimu ya Ridhas ya Chanjo ya Covid 19

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Mkurugenzi wa Huduma za afya Dr Subi ametoa ufafanuzi kuhusu fomu ya ridhaa ya chanjo ya civid 19

Dr Subi amesema wanaotaka kuchanjwa watajaza fomu maalumu ya hiyari ya kutaka kuchanjwa na huo ni utaratibu wa kawaida kabisa duniani kote

Source: TBC Aridhio
 
Safi
 
Ni lini Magharibi imeanza kuwa na huruma kiasi hicho?

Hiyari kwa maana ya hiari!?!!

Tusikilize wadhamini, Vodacom: Yajayo yanafurahisha, Uko tayari?

ASOMAYE NA AFAHAMU.
 
Back
Top Bottom