johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
SafiMkurugenzi wa Huduma za afya Dr Subi ametoa ufafanuzi kuhusu fomu ya ridhaa ya chanjo ya civid 19
Dr Subi amesema wanaotaka kuchanjwa watajaza fomu maalumu ya hiyari ya kutaka kuchanjwa na huo ni utaratibu wa kawaida kabisa duniani kote
Source: TBC Aridhio
Ngoja mods warekebishe