seems hapa wengi wanachanganya ubinafsishaji wa Tanesco na hiyo bill iliyo letwa na serikali,its all about kuondoa monopoly ya kampuni moja inayoitwa Tanesco siamini mpaka leo miaka karibu 50 ya uhuru bado tunatetea sheria za kinyonyaji kama za kuipa Tanesco monopoly,yaani leo nina pesa zangu na siwezi kuanzisha kampuni yangu ya kuzalisha/kuuza umeme eti kwa sababu wanaoruhusiwa kufanya hivyo ni kampuni moja tuu ya Tanesco.
Koba:
Nadhani mimi na wengine pia tumekuelewa vizuri kabisa kuhusu monopoly ya Tanesco, na hatupingi unayoyasema.
Kitu ambacho mimi naona kina utata ni 'timing' ya mswada huu; pamoja na kutokuwa na imani na nia ya hawa wanaouleta mswada wenyewe. Watu sasa wamekuwa waoga, kwani wanasoma hila katika kila jambo linalofanywa na serikali hizi za ccm.
seems hapa wengi wanachanganya ubinafsishaji wa Tanesco na hiyo bill iliyo letwa na serikali,its all about kuondoa monopoly ya kampuni moja inayoitwa Tanesco siamini mpaka leo miaka karibu 50 ya uhuru bado tunatetea sheria za kinyonyaji kama za kuipa Tanesco monopoly,yaani leo nina pesa zangu na siwezi kuanzisha kampuni yangu ya kuzalisha/kuuza umeme eti kwa sababu wanaoruhusiwa kufanya hivyo ni kampuni moja tuu ya Tanesco.
Unajua maana ya Monopoly?? Tanesco is a monopoly are U kidding me???
Tanesco ilivyo sasa hivi ni wakala wa kukusanya pesa za IPTL, Songas, Dowans, Alstom, Aggreko na soon mother of all KIWIRA.
Bwana Koba kinachotokea sasa hivi ni hiki:::
Total collection per month ~~~~~ 17 billion
Money paid to IPTL, SONGAS blah ~~~15 billion
Tanesco expenses ~~~~~~~~~~~~~~~~~~17 billion
Kumbuka hao kina IPTL, SONGAS wanalipwa bila hata kuzalisha umeme.
Kwa hiyo kama hiyo ndio monopoly Tanesco iliyonayo, I rest my case and won't discuss anymore.

Mkuu
Naona Koba wakati nikiwa mwalimu kipindi fulani nisingelikubali amalize ningekamata tu.
Watu wooote tangia jana wanaelewa vizuri hili somo.
wabunge woote wanaelewa hili somo. tatizo lako na ngeleja hamutaki kuelewa kipindi tulichopo. Ni kipindi kigumu inahitaji muda na kurudusha imani basi tu. Usishangae kipindi hiki mambo mengi yakakwama.
...kwa mawazo kama haya,mgao ni order of the day for the next 50 yrs!