seems hapa wengi wanachanganya ubinafsishaji wa Tanesco na hiyo bill iliyo letwa na serikali,its all about kuondoa monopoly ya kampuni moja inayoitwa Tanesco siamini mpaka leo miaka karibu 50 ya uhuru bado tunatetea sheria za kinyonyaji kama za kuipa Tanesco monopoly,yaani leo nina pesa zangu na siwezi kuanzisha kampuni yangu ya kuzalisha/kuuza umeme eti kwa sababu wanaoruhusiwa kufanya hivyo ni kampuni moja tuu ya Tanesco.