Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kwahiyo walipofuata kila mmoja alipata mali zake?Mbeya hawakuvunja.
Walihamisha mabanda yote usiku. Asubuhi watu wanafika kijiweni hawakuti mabanda.
Wakagewa tangazo kila mmoja afuate mali zake jiji.
Kwanini approach kama hii haikutumiwa?
Sina uhakika juu ya hilo. Nina uhakika wa mabanda kuondolewa kwenda jiji na tangazo ila kama aliyeenda alipata sina uhakikaKwahiyo walipofuata kila mmoja alipata mali zake?
Tatu..!.?[emoji15][emoji3064][emoji848][emoji2827] TingatingaMoja ondokeni hamtaki, mbili ondokeni hamtaki