GEBA2013
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 4,880
- 6,047
Tayar.jeshi (jwtz) walimwaga zaidi ya magari 25 ya jw yalipelekwa bondo wamechoma nyumba za watu mazao na kufyeka mazao yaliyoko mashambani.watu wengi walipigwa sna na kuumizwa.matumizi mabaya ya risasi za moto pasipo sababu.mali nyng za watu ziliteketezwa na kunyanganywa na maaskari.