Serikali yawataka watalii waliopanga kuja nchini kuahirisha safari hadi hapo Corona itakapodhibitiwa

Nilipost kuhusu hii kitu leo asubuhi, tho moods hawakuupa uzito uzi wangu na kuunganisha na ule wa polepole wakidhan ndye anaupeo mkubwa sana. Sasa hata siku haijaisha nilichozungumzia nakiona hpa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila jambo unaweza kulifanyia siasa. Kuingiza siasa katika kila jambo imechangia Taifa hili kurudi nyuma katika mambo mengi. Leo Mbowe akisimama na kusema wataendelea na mikutano hata kama kuna Corona utasema anapiga siasa na tumwache aseme?
Watanzania wengi hamjui kutofautisha siasa na uhalisia ndio maana vitu vyengine huwa mnaongea mpk misuli ya shingo inakakamaa shingo zinashindwa kujipinda[emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Mbowe hiyo mikutano atafanyia wapi?

Ni mbwiga tu ndio watakaomuamini!
 
Bwashee kuna tofauti kati ya taarifa ya chama na taarifa ya serikali.

Leo imeongea serikali!
Bwashe tulitarajia chama tawala ndiyo ingeshauri/agiza serikali yake kusimamisha mara moja safari za ndege za nje kuingia nchini na kufuta safari za nje kwa watanzania ili kunusuru nchi na corona lakini wapi! Au chama tawala haijui wajibu wake kwa serikali? Haijui kuwa serikali iliyopo madarakani ni yake?
Siku CCM ikibadilisha kofia ya Rais wa nchi kuwa mwenyekiti wa chama Taifa ndiyo itaweza kuisimamia na kuiagiza serikali yake juu ya maslahi mapana ya nchi. Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kutenganisha hizi kofia mbili.
 
Naona bado sijaeleweka!! Mkuu fanya mambo mengine achana na hili tutachoshana we katafute hela huko mengine yaachie yapite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…