Serikali yawatelekeza wanafunzi 29 Ukraine

Serikali yawatelekeza wanafunzi 29 Ukraine

Mwanakijiji ni msemaji wetu na anamiliki redio. mimi sina Redio wala gazeti na matajiri kama Mengi hupenda kutajwa kwenye vyombo vya habari.
 
jamani.. tunahitaji dola mia moja mia moja..!! maneno maneno peke tunapotezeana muda.. hali inaeleweka, na tatizo linafahamika, wakati wa kutenda, hatuwezi kuendelea kuzungumzia jambo hilo hilo bila kufanya kitu. Wale ambao tayari mmeshaanza natanguliza shukrani kwa niaba.. na wengine ambao bado mnafikiria natumaini mtakuwa na ujasiri wa kutenda, na wale ambao mnasubiri wengine wafanye ili msubiri kusikia imekusanywa kiasi gani na kuanza kukosoa au kupongeza.. inatosha kusubiri..!
 
Mwanakijiji ni msemaji wetu na anamiliki redio. mimi sina Redio wala gazeti na matajiri kama Mengi hupenda kutajwa kwenye vyombo vya habari.

Nani alisema kuwa mwanakijiji ni msemaji wako; kinachotakiwa hapa ni michango ya hiari siyo michango kwa nia ya kutangazwa kwenye kwenye vyombo vya habari.
 
kichuguu hilo ndilo tatizo ndio maana watu kama kina Mengi, Manji, Malinzi na wenzao wanaweza wasichangie hata wakiombwa kwa sababu hakuna kamera karibu! Tutaona, tumeandaa tangazo kwa umma wa Watanzania probably siku ya Jumapili... kuhusu michango hii, sisi tulio nje ya nchi tumepewa headstart kwa sababu mawasiliano yetu ni rahisi....
 
Mwanakijiji.
mie tayari nimewakilisha changu.

watu wa Reading tujitokeze kwa hili kama vile wenzetu wako matatani.
 
safi kabisa, na shukrani!! Jamani tukiweza kufanya hivi lile wazo la kuwa na scholarship halitakuwa gumu kwani tayari tunawadau wanaoeleweka..
 
SUSAN MUSHI anataka tumpe sasa huu ndio wakati wake wakujitokeza lakini naona KIMYAAAAAAA
 
sidhani kuna haja ya kusema nani achangie au nani asichangie, wito ni kwa Watanzania wote na yeyote yule mwenye kutaka kusaidia vijana hawa. Sisi tunaohimiza wengine wachangaie inapaswa tuwe wa kwanza kwani viongozi hawafuati!!
 
Wanabodi,
Vipi ikiwa kila sehemu Ulaya (kila nchi) na Marekani (kila states) zenye Wabongo wengi kiandaliwe kitu kama Party ya fundraising?...nakumbuka kuna mtu katoa wazo hilo limefikia wapi?
JF ina wajumbe wa kutosha ambao wanaweza shirikiana na jumuiya za Kitanzania kuandaa kitu..
 
Sidhani kama wazo la pati ni wazo zuri kwa sababu watu wataishia kulewa tu na hamna la maana litakalotokea. Najua (kwa hapa Marekani) kuna vyama vya ushirikiano wa jumuiya za Kitanzania. Vyama hivi, kwa mfano tzatl.org, huwa vina distribution list inayotumiwa kusambaza matangazo. Kwa nini isiandikwe email ya kuwasihi watu watoe michango halafu isambazwe kwa njia hiyo?
 
Mkandara na Nyani, wazo hilo siyo baya tatizo ni kuorganize. Kama jumuiya zinaweza kuona umuhimu wa kuchangia aidha kwa kuandaa fundraiser au kwa kutoa mifukoni (kwa kuhamasisha wajumbe) basi sioni ubaya au ugumu wake. Mwenye email za jumuiya mbalimba tafadhali nipenyezee.
 
Mwanakijiji.

Chadema walisema wana mfuko wa elimu, wazo langu watukopeshi katika kipindi hiki tunachohangaika na michango baadae tuwarudishie.

Mbowe.

Tunaomba utoe chochote uwe mfano bora kwetu.
 
Mkandara na Nyani, wazo hilo siyo baya tatizo ni kuorganize. Kama jumuiya zinaweza kuona umuhimu wa kuchangia aidha kwa kuandaa fundraiser au kwa kutoa mifukoni (kwa kuhamasisha wajumbe) basi sioni ubaya au ugumu wake. Mwenye email za jumuiya mbalimba tafadhali nipenyezee.

Mwanakijiji, angalia PM yako
 
Jamani, tusiwe watu a kuongea tuuuuuuuuu. We need action. Kama mnaona wanafunzi wanahitaji msaada, why not start amongst ourselves? Tuwapeni mfano serikali, ya kwamba, kama wameshindwa, sisi tunaweza kuwasaidia walioathirika. mimi binafsi, ninatafuta njia ya kuwasaidia. Nitawaeleza leads of how to make your contribution.

And dont worry, it wont be on my Bank account.....LOL
 
Soma Posts zote,akaunti zimesha funguliwa kinachotakiwa ni mchango wako tu.
Hata huko uliko tayari
 
Jamani, tusiwe watu a kuongea tuuuuuuuuu. We need action. Kama mnaona wanafunzi wanahitaji msaada, why not start amongst ourselves? Tuwapeni mfano serikali, ya kwamba, kama wameshindwa, sisi tunaweza kuwasaidia walioathirika. mimi binafsi, ninatafuta njia ya kuwasaidia. Nitawaeleza leads of how to make your contribution.

And dont worry, it wont be on my Bank account.....LOL

Account hizo hapo,kazi kwako;

Bank: National Microfinance Bank Ltd
Swift Code: NMIBTZTZ
Name of Account: TANLET MICHANGO YA DHARURA
Account number: 2016600043
Currency: TSHS

Kwa wale walioko nje ya nchi na kutegemea nchi walizopo au fedha wanazutumia.

NMB CORRESPONDENT BANKS FOR FOREIGN CURRENCY TRANSFERS

BANK: CITIBANK N.Y.
SWIFT CODE :CITIUS33
ACCOUNT NAME: NATIONAL MICROFINANCE BANK LTD
ACCOUNT NUMBER: 36142828
CURRENCY: USD

BANK: DEUTSCHE BANK TRUST COMPANY AMERICAS - NY
SWIFT CODE:BKTRUS33
ACCOUNT NAME: NATIONAL MICROFINANCE BANK LTD
ACCOUNT NUMBER: 04416097
CURRENCY: USD

BANK: DEUTSCHE BANK AG FRANKFURT AM MAIN DE
SWIFT CODE: DEUTDEFF
ACCOUNT NAME: NATIONAL MICROFINANCE BANK LTD
ACCOUNT NUMBER:100 9575481 0000
CURRENCY: EURO

BANK: RABOBANK NEDERLAND
SWIFT CODE: RABONL2U
ACCOUNT NAME: NATIONAL MICROFINANCE BANK LTD
ACCOUNT NUMBER: 3908.86.327 EUR
CURRENCY: EURO

BANK: RABOBANK NEDERLAND
SWIFT CODE: RABONL2U
ACCOUNT NAME: NATIONAL MICROFINANCE BANK LTD
ACCOUNT NUMBER: 3908.86.327 GBP
CURRENCY: GBP

BANK: RABOBANK NEDERLAND
SWIFT CODE:RABONL2U
ACCOUNT NAME: NATIONAL MICROFINANCE BANK LTD
ACCOUNT NUMBER: 3908.86.327 USD
CURRENCY: USD
 
Back
Top Bottom