Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Kazi ipo !!!Urefu wa ndevu mbona tayari ipo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ipo !!!Urefu wa ndevu mbona tayari ipo!
Mpumbavu mkubwa wewe hivi unadhani manesi na mapolisi huko vyuoni kwao wanasomea ujinga hata hawajui nini cha kuvaa wanapokuwa makazini mwao au appearance ya kwa ujumla in order to perform the duties?
Have you heard any complaints about the appearance of police officers or nurses while on duty? Peleka UZWAZWA wako kwingine
Kwa hiyo umeandika kingereza ili tukuogope au!!?
alafu unamtisha nani ati ww ni nani!!?
you are so stupid!!
Ndio maana wafanyakazi wa serikali wengi ni dormant and they never look smart, unaweza kwenda kwenye taasisi ya serikali ukakutan ana staff ukadhani wametoka shamba kumbe wapo ofisini
Ndio maana wafanyakazi wa serikali wengi ni dormant and they never look smart, unaweza kwenda kwenye taasisi ya serikali ukakutan ana staff ukadhani wametoka shamba kumbe wapo ofisini
Halafu wakikuona upo smart wanakupa kanga ufunge ili ufanane nao
No wonder sasa hivi ukienda ofisi za serikali kama umevaa viatu virefu unapewa ndala mlangoni unaacha skuna zako ukimalizana nao unazipitia unarudisha ndala zao[emoji23][emoji23]
Sasa mimi secretary haya yanihusu nini?Mwalimu anayeandika ubaoni na chaki akiwa na kucha ndufu kwako unaona ni sawa!!?
Askari wa kike anayekamata muharifu hapo vipi!!?
Sijamaliza na nesi anayechoma sindano za matako.....
jiongeze bana wacha kelele...
Mambo ya kustaajabisha sana. Sasa watu wakivaa viatu virefu au wanaofuga kucha kunaathiri vipi utendaji wao wa kazi? [emoji15]
Ndio maana wafanyakazi wa serikali wengi ni dormant and they never look smart, unaweza kwenda kwenye taasisi ya serikali ukakutan ana staff ukadhani wametoka shamba kumbe wapo ofisini
Halafu wakikuona upo smart wanakupa kanga ufunge ili ufanane nao
No wonder sasa hivi ukienda ofisi za serikali kama umevaa viatu virefu unapewa ndala mlangoni unaacha skuna zako ukimalizana nao unazipitia unarudisha ndala zao[emoji23][emoji23]
Ni udhalilishaji wa aina yake wa kuingilia uhuru wa watu 2020 utadhani tuko mwaka 47.
Wanawake wengi wanaokwenda kwenye ofisi za Serikali hugomea huo upuuzi wao. Wawawekee sheria hizo wafanyakazi wao na si wengine wanaokuja mara moja na kuondoka.
UJINGA unazidi KUTAMALAKI ndani ya hii Serikali.
Wakivaa Chupi au wakifanya kazi bila ya nguo hata moja,kuna athiri vipi utendaji wao wa kazi....Ipo wakati utasema hivi wewe kwa akili yako iliyojaa maji
Ha ha haaaaYour mother and father are stupid. Who told you that I use English language ili uniogope mpuuzi wewe? So many people in this forum use English and they don’t do that in order to make any one fear them in one way or another STUPID.
Chief
Ujinga wako umekubuhu
Mruhusu Mwanao wa Kike na Mke wao kutembea watakavyo au hama Nchi....
Wakivaa Chupi au wakifanya kazi bila ya nguo hata moja,kuna athiri vipi utendaji wao wa kazi....Ipo wakati utasema hivi wewe kwa akili yako iliyojaa maji
Adabu ni muhimuAcha kukurupuka ZWAZWA wewe mtu mwenye akili timamu ataenda kazini huku akiwa kavaa chupi? Hebu toa UTAAHIRA wake hapa. By the way huu ujinga unahusu viatu virefu na kucha ndefu.
Adabu ni muhimu
si kila akifanyacho na fulani ndio una igiza
Tuheshimu Tawala zetu
Fahamu Dogo
Uvaaji huo si Ustaarabu wa Mtanzania
Leo ww unatetea hivi
kesho atakuja mwenye akili kama yako,watahalalisha kutembea uchi kabisa
Hii ni hatua kwa hatua
Leo ww umepiga hatua moja...watakuja wenzako watapiga hatua ya pili
Uwe na akili Dogo
.....ustaarabu wa mtanzania ni upi??...Adabu ni muhimu
si kila akifanyacho na fulani ndio una igiza
Tuheshimu Tawala zetu
Fahamu Dogo
Uvaaji huo si Ustaarabu wa Mtanzania
Leo ww unatetea hivi
kesho atakuja mwenye akili kama yako,watahalalisha kutembea uchi kabisa
Hii ni hatua kwa hatua
Leo ww umepiga hatua moja...watakuja wenzako watapiga hatua ya pili
Uwe na akili Dogo
Kazi zenyewe hawafanyi, kuzungurushana tu, ila mambo yasiyo na maana ndio wameyashupalia.Ndio maana wafanyakazi wa serikali wengi ni dormant and they never look smart, unaweza kwenda kwenye taasisi ya serikali ukakutan ana staff ukadhani wametoka shamba kumbe wapo ofisini