Serikali yazuia viatu virefu, kucha ndefu ofisini

Tangu miaka ya zamani serikali imeweka sheria katika uvaaji wa watendaji wake, nothing's new. Hata ofisi binafsi zina sheria za uvaaji na mwonekano wa mfanyakazi. Kama hazina basi wavae boksa na sidiria na malapa waende kazini.

Sasa kwa vile kuna watu vyovyote serikali inavyosema wapo against lazima wapinge tu, wao ni kupinga tu.
 
Ushamba wa viongozi unalazimishwa uwe ushamba wa Taifa !
 
Ni kawaida yao kupinga kila kitu kinachoelekezwa na serikali, huu muongozo ungekuwa umetolewa nchi nyingine wangekuja kusifia na kuiponda serikali yetu. Hawa ndio tunawaita nyumbu wako tayari hata kutetea kitu cha kipumbavu ili waonekane tu wako opposite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…