Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Wafungwa ni faida kubwa sana kwa nchi endapo watatumika vizuri, mataifa kama China huwa na mashamba ya Kitaifa, (National farms) ambayo Uhudumiwa na wafungwa, ni mbaya Sana kumtumia mfungwa katika kulima mashamba ya viongozi, wafungwa wakitumika vizuri ipo siku Jeshi la magereza litakuja kutoa gawio serekalini.Na hiyo ndio maana halisi ya Mfungwa pale ni chuo wenye ujuzi wanawapa wasio na ujuzi kushirikiana na Serikali alafu unawatupa kwenye miradi mbalimbali ya kijamii,,lakini kwetu huku ni kulima mashamba ya viongozi
Ni kweli wanayo mashamba lakini yanatumika katika very low au hayatumiki kikamilifu nendeni mkayaone!Unataka mashamba ya askali magereza yalimwe n nan?
Wakikodiwa na Wakandarasi wakubwa fedha zitaingia serekalini /magereza, wakilima vyema kwa 100%,nao pia watapata chakula bora zaidi, ikibidi milo mitatu, sio utu, kwa sababu ni mfungwa akala mlo mmoja kwa kutwa wenye mashaka!, wawe kikazi zaidi na sio kuwa mzigo kwa serekali.Wafanye kazi ambazo hata Kama wangekuwa nje wangefanya na sio kupasua kuni na Kubebeshwa zege
Au kulimishwa mashamba
Wafanye Kazi zenye utu zaidi
Niwazo zuri Sana na itasaidia wafungwa kuludi uraiani na ujuzi utakao wafaa kwa maisha yao mapyaKatika kandarasi nyingi wafanyakazi wasio rasmi /temporary worker aka vibarua, huigarimu kampuni almost 7-10, ya fedha za mradi although bajeti hii huwa imeainishwa ndani ya mkataba, tunashuhudia mataifa kama China hufanya haya, huwa kama ni sehemu ya wafungwa katika kufundishwa kazi mbalimbali za kijamii, kwa kulitumikia taifa lao kwa namna fulani,pia itaokoa gharama kwa kiasi fulani.
#ALAMSIKI