Serikali yetu ina mkakati gani na hawa wanauza mihadarati ya kiimani kwa jina la Yesu au ukristo?

Taifa linaangamia na kutengeneza jamii ya mataahira. Wakuu wangu wa serikali nawaheshimu sana lakini hapo mmekaa kimya. Kusema serikali haina dini mnamaanisha matapeli waliojificha kwenye imani ya dini mkono wa serikali ambao tunajua ni mrefu hauwafikii hawa matapeli na ambao asilimia kubwa wapo kwenye imani za kidini?
HIYO NI AJENDA YA SIRI KUBWA SANA ... NI AJENDA YA RAIA FEKI WAKISHIRIKIANA NA WAISLAMU WASIO JITAMBUA (wasio wazalendo) KUANGAMIZA WAKRISTO MAANA MAFISADI WA NCHI YETU WAKUBWA NI WAISLAMU WANASHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WA KIBEBERU AMBAO NI WAKRISTO...kumbukeni walivyo sema kipindi cha JPM kuwa wanatamani tanzania iongozwe na waislamu siku zote kuliko wakristo ...mnajua kwanini walisema hivyo ? Tumieni akili hao unao wahita wauza miadarati wa kidini ni vyombo vya ccm wanatumika kuwapumbaza wakristo hili wao wazidi kufisidi nchi .....mfano yule kahaba na msagaji zumaridi anaye jihita mungu mke ...wewe ujui kuwa ana sahini ya Rais na ya serikali kwa anayo yafanya ...hata matapeli kina mwamposa wote wamepewa sahini ya Rais na ya serikali hili wafanye wanayo yafanya .....wakristo na waislamu wa kawaida mnabaki mkitukanana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ya matendo machafu ya hao mitume na manabii feki walio pandikizwa na CCM NA SERIKALI YAKE KWA AJILI YA AGENDA MAHARUMU....SWALI ZUMARIDI NI NANI ANAYE MPA KIBARI CHA KUFANYA USHENZI KWA JINA LA MUNGU ?

HUU NDIYO UKWELI CCM NDIYO INAYO MILIKI MASHEKH FEKI NCHINI ..BAKWATA NA WENGINE SIYO BAKWATA NA MITUME NA MANABII FEKI YA KIKRISTO ....na wanalindwa na serikali ya ccm ole wako uwaguse .....Leo hii utakuta muislamu asiye jitambua anawadharau wakristo kwa sababu ya hao mitume feki bila ya kujua kuwa wame pandikizwa na serikali ya ccm tena chini ya waislamu....tanzania kuna aina 3 ya waislamu na aina 3 ya wakristo ....sinta fafanua zaidi kuhusu hizo aina na nini maana yake
 
Mhhh!!
 
Hilo sio swala la serikali hilo ni suala la dini husika kuweka mikakati ya kuwashughulikia matapeli maana serikali haina dini.
Hao mitume ni mapandikizi ya serikali na hata BAKWATA ni pandikizi la serikali
 
Vyema sana asante but when will this come into effect?? Tuamke jamani. Juzi tu hapa Trump ameminya misaada watu wameanza kuli. Nchi tuliyojitawala for more than 50 years yenye rasslimali kibao kweli bado tulie lie . Hata mwanao umemlea ana miaka 50 bado tena ni tegemezi. Mhhhh!!
Hapana mkuu kwenye hilo siwalaumu mfumo wa dunia unawakataa mkuu ndio maana viongozi wote wa Africa waliokuwa na maono waliouliwa ama kuondolewa madarakani vibaya sana sio kwamba hakuna viongozi ila system wanayopambana nayo ni kubwa sana na ina nguvu angalia kilichomtokea gadafi au magufuli wanasema tujitegemee ila wanafanya kila kitu lisitokee hilo.
 
Asante kwa mawazo yako
 
Back
Top Bottom