Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
"Serikali za Afrika zinapaswa kuanzia sasa kuwatafuta expert hackers with Ethical Hacking experience kutoka ndani ya nchi zao na kuwaajiri na walipwe vizuri. Watu hawa ndio nguzo pekee wa kuhakikisha usalama wa taarifa za Taifa na kulinda mifumo yote ya kiserikali na siri nyeti.
Nasisitiza, katika hali ilivyo duniani leo, kabla ya adui hajakupiga vita ya makombora, huanza kushambulia mifumo ya mawasiliano na kujaribu kuiba siri za ulinzi na usalama wa Taifa." — Alloyce, P.R.
Nasisitiza, katika hali ilivyo duniani leo, kabla ya adui hajakupiga vita ya makombora, huanza kushambulia mifumo ya mawasiliano na kujaribu kuiba siri za ulinzi na usalama wa Taifa." — Alloyce, P.R.