Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
Gentleman,"Serikali za Afrika zinapaswa kuanzia sasa kuwatafuta expert hackers with Ethical Hacking experience kutoka ndani ya nchi zao na kuwaajiri na walipwe vizuri. Watu hawa ndio nguzo pekee wa kuhakikisha usalama wa taarifa za Taifa na kulinda mifumo yote ya kiserikali na siri nyeti. Nasisitiza, katika hali ilivyo duniani leo, kabla ya adui hajakupiga vita ya makombora, huanza kushambulia mifumo ya mawasiliano na kujaribu kuiba siri za ulinzi na usalama wa Taifa." β Alloyce, P.R.
ππππππGentleman,
mifumo ya serikali sikivu ya CCM iko imara na madhubuti dhidi ya maadui wa kidigitali na analogia wa ndani na nje ya mipaka ya taifa letu.
napenda kukiri kwamba,
dosari na changamoto kidogo zipo katika uaminifu wa baadhi ya rasilimali watu kidogo iliyopo, na hilo ni jambo la kibinadamu, lakini hata na hivyo linafanyiwa kazi. Sambamaba na hilo niendelee kukiri tu kwamba bado tunahitaji rasilimali watu ya kutosha ili kusimamia weledi wa mifumo hiyo.
Na hii haina maana kwamba usalama wa taarifa za taifa letu uko mashakani, hapana.
kama taifa tupo vizuri na tunasongambele vema sana licha ya wimbi kubwa la upotoshaji unaotokana na maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano.
Bilasha yoyote,
mamlaka makini za serikali sikivu ya CCM,
zinachukua chanagamoto uliyoibua ndani ya maoni yako na kuifanya kua fursa ya kujiimarisha zaidi dhidi ya wadukuzi wa siri za Taifa.
Mungu Ibariki Tanzania
Siri zote za Tanzania ziko wazi"Serikali za Afrika zinapaswa kuanzia sasa kuwatafuta expert hackers with Ethical Hacking experience kutoka ndani ya nchi zao na kuwaajiri na walipwe vizuri. Watu hawa ndio nguzo pekee wa kuhakikisha usalama wa taarifa za Taifa na kulinda mifumo yote ya kiserikali na siri nyeti. Nasisitiza, katika hali ilivyo duniani leo, kabla ya adui hajakupiga vita ya makombora, huanza kushambulia mifumo ya mawasiliano na kujaribu kuiba siri za ulinzi na usalama wa Taifa." β Alloyce, P.R.