Exile
JF-Expert Member
- Feb 21, 2021
- 1,477
- 3,642
Hii ni video inaonyesha waandamanaji wanaounga mkono palestina wakiwa karibu na makazi binafsi ya katibu wa serikali ya marekani (waziri wa mambo ya nje) antony blinken wakimwagia vimininika vyenye rangi nyekundu karibu na gari la blinken.
Cha ajabu kwa sisi waafrika hao waandamanaji hayupo hata mmoja aliyekamatwa ingekuwa afrika tayari tungeona defenda na polisi walioficha sura zao na silaha nzito kuwatisha raia na kukamata waandamanaji, just imagine anafanyiwa january makamba hivi yaani?