Hata ingekuwa hivo bado kwa serikali za afrika ni ngumu kuna siku BAWACHA waliandamana nahisi kudai katiba mpya unakumbuka yule mama alikaa siku ngapi polisi?Tatizo ni ‘perceived dorcility’ ya waandamanaji. Hebu hao waandamanaji wawe kikundi cha vijana wa kiume, hasa hasa vijana weusi kama wavuta bamgi flani wenye nguo za kihunihuji uone...., watapigwa kama mbwa..
Ila kwakuwa hao ni wamama wamama wa kizungu, hakuna atakaewagusa.., they are harmless, pia ni wachache sana..
Walikuwa wamevaa kimama mama kabisa?! Basi hapo wanakosea sanaHata ingekuwa hivo bado kwa serikali za afrika ni ngumu kuna siku BAWACHA waliandamana nahisi kudai katiba mpya unakumbuka yule mama alikaa siku ngapi polisi?
Basi kama hudanganyi.Niwadanganye kivipi? Hebu nieleweshe nimedangamyage mkuu
Hao wazungu wako wamemvumilia TRUMP????Hii ni video inaonyesha waandamanaji wanaounga mkono palestina wakiwa karibu na makazi binafsi ya katibu wa serikali ya marekani (waziri wa mambo ya nje) antony blinken wakimwagia vimininika vyenye rangi nyekundu karibu na gari la blinken.
Cha ajabu kwa sisi waafrika hao waandamanaji hayupo hata mmoja aliyekamatwa ingekuwa afrika tayari tungeona defenda na polisi walioficha sura zao na silaha nzito kuwatisha raia na kukamata waandamanaji, just imagine anafanyiwa january makamba hivi yaani?
View attachment 2862283
Africa imelaaniwa haswaHii ni video inaonyesha waandamanaji wanaounga mkono palestina wakiwa karibu na makazi binafsi ya katibu wa serikali ya marekani (waziri wa mambo ya nje) antony blinken wakimwagia vimininika vyenye rangi nyekundu karibu na gari la blinken.
Cha ajabu kwa sisi waafrika hao waandamanaji hayupo hata mmoja aliyekamatwa ingekuwa afrika tayari tungeona defenda na polisi walioficha sura zao na silaha nzito kuwatisha raia na kukamata waandamanaji, just imagine anafanyiwa january makamba hivi yaani?
View attachment 2862283