DOKEZO Serikali za Mitaa zinavyoshilikiana na polisi wa Madale kuwaumiza wananchi kwa rushwa

DOKEZO Serikali za Mitaa zinavyoshilikiana na polisi wa Madale kuwaumiza wananchi kwa rushwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Bnon

Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
40
Reaction score
67
Habari ndugu!

Kuna kero inaendelea huku Tegeta Msigani kwenye Mto wa Kinondo. Mwenyekiti wa CCM wa Serikali za Kijiji amezidiwa tamaa ya pesa na mapolisi wa Madale. Kuna wachota mchanga kwenye bonde ambapo sasa hivi limepanuka zaidi na kuwa mto, hivyo wanafunzi wanaosoma Msigani Primary wapo kwenye hatari ya kupoteza maisha pamoja na wakazi wa maeneo hayo. Hata hivyo, bado wanaruhusu mchanga kuendelea kuchotwa pale.

Pia, mapolisi wa Madale mara nyingi wameonekana wakifata rushwa na kuacha shughuli hiyo iendelee, hivyo kuharibu barabara na miundombinu mingine. Serikali tunaomba mkaliangalie hili, aswa gwajima litakufelisha sana. Wananchi wanahasira na wewe.

Tusaidieni.
 
Back
Top Bottom