ligendayika
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,183
- 198
Wana jamii forum wenzangu hasa ktk jukwaa Elimu katika elimu Idara ya Ukaguzi wa shule ni muhimu sana kwa maendeleo ya elimu nchini. Idara hii imeachwa si kusahauliwa haifanyikazi yoyote wakafuzi hawakagua shule kwa kuwa hawana vitendea kazi sasa najiuliza hizi siasa za kuboresha elimu bila kuwashirikisha wakaguzi hivi kweli tunataka kuinua Elimu yetu. Wanafunzi wengi wanasoma hizi shuile za serikari ambazo ndizo zinazopeleka watoto shule za kati sasa huku p/school hakuna chochote unadhani wanaoenda kidato cha kwanza wapoje. Serikari ione umuhimu wa Idara hii kwani ndio inayoweza kuinua elimu kwa wananchi wa chini na shule za akina kayumba. nawasilisha