Serikari isipo itumia idara ya ukaguzi wa shulke isitegemee maajabu kwenywe elimu hasa ya msingi

Serikari isipo itumia idara ya ukaguzi wa shulke isitegemee maajabu kwenywe elimu hasa ya msingi

ligendayika

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
1,183
Reaction score
198
Wana jamii forum wenzangu hasa ktk jukwaa Elimu katika elimu Idara ya Ukaguzi wa shule ni muhimu sana kwa maendeleo ya elimu nchini. Idara hii imeachwa si kusahauliwa haifanyikazi yoyote wakafuzi hawakagua shule kwa kuwa hawana vitendea kazi sasa najiuliza hizi siasa za kuboresha elimu bila kuwashirikisha wakaguzi hivi kweli tunataka kuinua Elimu yetu. Wanafunzi wengi wanasoma hizi shuile za serikari ambazo ndizo zinazopeleka watoto shule za kati sasa huku p/school hakuna chochote unadhani wanaoenda kidato cha kwanza wapoje. Serikari ione umuhimu wa Idara hii kwani ndio inayoweza kuinua elimu kwa wananchi wa chini na shule za akina kayumba. nawasilisha
 
Back
Top Bottom