Seriouly natafuta mwanamke wa kuishi nae

Seriouly natafuta mwanamke wa kuishi nae

Habari wana jamvi,

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37, nina elimu ya chuo kikuu na kazi nzuri, nimekamilika biologically, physically.

Kitabia mimi ni binadamu sio malaika. Imani yangu ni Mkristo mkatoliki, ni mwenyeji wa Arusha lakini ninafanya kazi zangu mikoa ya Lindi na Mtwara.

Ninahitaji mwanamke ambaye ameshafanya uamuzi wa kutulia na mume na kutengeneza maisha. Sijali sana sura yake wala umbo ninachojali sana ni akili, ubunifu, bidii kwenye kazi na awe na hofu ya Mungu.

Awe na umri usiopungua miaka 24 na usiozidi miaka 30. Mwanamke aliye serious na anayetaka kunihoji maswali kufahamu chochote zaidi ani PM.

Madalali hawatakiwi
mkuu hao uno watafuta kwa umri huo bado wapo shule mkuu huogopi kufungwa
 
Atamuonea sana
Binti 24
Mume 37

37-24=?
Nisaidie hapo hesabu niliacha form two
Afunguliwe mashitaka ya kubaka kabisa Uwezo wa kupambanua mambo watakuwa wanatofautiana kabisa. Pia watakuwa na social interactions imbalance.. hawatakuwa wakifanana kwa lolote labda kuingialiana tu
 
Afunguliwe mashitaka ya kubaka kabisa Uwezo wa kupambanua mambo watakuwa wanatofautiana kabisa. Pia watakuwa na social interactions imbalance.. hawatakuwa wakifanana kwa lolote labda kuingialiana tu
Mkuu acha nongwa
 
Back
Top Bottom