Serious as Serious can be! I need a Woman!

Serious as Serious can be! I need a Woman!

Bunyu

Senior Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
119
Reaction score
32
Namhitaji 'Mwanamke' ambae anajitambua. Kuhusu future yetu, itakuwa ni mimi na yeye kujadili na kupanga how to go about it! Age is nothing but number! Muhimu awe 'anaejitambua' please ni PM!
 
Mkuu yaelekea una haraka.. Success!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu yaelekea una haraka.. Success!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

sina haraka mkuu! Ila nimechoka na 'GIRLS' na style zao za ku paste kwenye tamthiliya
 
hapa unasema age is a no lakini akiingia ndani unaanza kuzihesabu hz no
 
aisee. Nakuhurumia ndg yangu. Bora uendelee na tudem tu. Wake wanaumiza, wanakera hata cc tuliooa tunasema ... Ningejua...
 
aisee. Nakuhurumia ndg yangu. Bora uendelee na tudem tu. Wake wanaumiza, wanakera hata cc tuliooa tunasema ... Ningejua...

mkuu,kukerana kitu cha kawaida, tatizo mlio kwenye ndoa wengi wenu mlioa mkitarajia kila kitu kitakuwa burudani! Yaani mlitarajia mazuri tu! Ikitokea tatizo kidogo,mnaanza kutoana thamani!
 
aisee. Nakuhurumia ndg yangu. Bora uendelee na tudem tu. Wake wanaumiza, wanakera hata cc tuliooa tunasema ... Ningejua...

Mbona unawasemea na wengine, kama wewe ndoa yako ina shida, wengine wasioe?
 
jieleze vizuri kaka, umri wako, dini, elimu hata m2 akikuPM anafanya kwa uhakika
 
Back
Top Bottom