Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Wakuu hili tatizo niko nalo kwa muda mrefu sana nasikia maumivu kama ya kiungulia kwenye moyo na nilifanya kipimo cha ECG pale Lugalo wakaniambia ni kutokana na vidonda vya tumbo,but these days naona kama bado tatizo linaendelea.
Naombeni ushauri wa kitaalam kuhusiana na hii kitu.
Naombeni ushauri wa kitaalam kuhusiana na hii kitu.