Serious heart burning

Serious heart burning

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Wakuu hili tatizo niko nalo kwa muda mrefu sana nasikia maumivu kama ya kiungulia kwenye moyo na nilifanya kipimo cha ECG pale Lugalo wakaniambia ni kutokana na vidonda vya tumbo,but these days naona kama bado tatizo linaendelea.

Naombeni ushauri wa kitaalam kuhusiana na hii kitu.
 
Je baada ya vipimo na kuambiwa ni vidonda vya tumbo,ulitumia dawa gani?
 
wakuu hili tatizo niko
nalo kwa muda mrefu sana nasikia maumivu kama ya kiungulia kwenye moyo
na nilifanya kipimo cha ECG pale lugalo waka niambia ni kutokana na
vidonda vya tumbo,but these days naona kama bado tatizo linaendelea.

naombeni ushauri wa kitaalam kuhusiana na hii kitu.
msaada wako niwewe kutibu vidonda vya tumbo kwa msaada zaidi nipm nikusaidie
 
niltumia omeprazol na amoxylin but still tatizo halijabisha.
hospitali hakuna dawa ya vidonda vya tumbo ndugu angalia utumbo usijesagika kwa dawa za kupooza tuu maumivu mtafute chokochoko mimi alinisaidia sana
 
hospitali hakuna dawa ya vidonda vya tumbo ndugu angalia utumbo usijesagika kwa dawa za kupooza tuu maumivu mtafute chokochoko mimi alinisaidia sana
Nisaidie jinsi jinsi ya kumpata huyo chokochoko Latifaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom