Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
msaada wako niwewe kutibu vidonda vya tumbo kwa msaada zaidi nipm nikusaidiewakuu hili tatizo niko
nalo kwa muda mrefu sana nasikia maumivu kama ya kiungulia kwenye moyo
na nilifanya kipimo cha ECG pale lugalo waka niambia ni kutokana na
vidonda vya tumbo,but these days naona kama bado tatizo linaendelea.
naombeni ushauri wa kitaalam kuhusiana na hii kitu.
niltumia omeprazol na amoxylin but still tatizo halijabisha.Je baada ya vipimo na kuambiwa ni vidonda vya tumbo,ulitumia dawa gani?
hospitali hakuna dawa ya vidonda vya tumbo ndugu angalia utumbo usijesagika kwa dawa za kupooza tuu maumivu mtafute chokochoko mimi alinisaidia sananiltumia omeprazol na amoxylin but still tatizo halijabisha.