Serious Iam looking for a wife

Naona umeamua kuwapambanisha hahahaha
Ili wapambane na hali zao mkuu. Maana hapa naona mwanaume ameshusha CV kubwa tena kwa kutumia lugha ambayo pengine itasababisha wadada wamuogope.
Na mdada ameandika waraka kwa jeuri na tambo za kuonyesha kwamba havabaishwi, wakati anaonekana ana tatizo la desperation kama sio stress.
Ebu wacha wapambane na hali zao... tehteehhh
 
Ukifanikiwa niambie na mimi ni Edit CV yako
 
Naona ulikalilishwa maisha n elimu tu pole sana, ukajisahau kujfunza kutongoza na uongo wa faida katka kujpatia papuchi,

Umri umeenda change gia angani kuwa bulda tu, eenh c unaitwa john
 
Badilisha Lugha mkuu, Kwani wewe kabila gani eti, usije ukatushida tabia
 

Hahahahahaha, hapo sasa kweli wapambane na hali zao
 
Jamaa limeshusha lugha ya malikia utadhani sifa.....[emoji12] [emoji12]
Hapo minimeelewa maneno mawili tu, Tanzania na Daresalam.... tehteehhh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kuzingatia tu "torerance" sina shaka utapata wa kufanana nawe humu. Kila la heri mkuu katika mbio za kusaka mke.
 
Basi tena vigezo viwili vimenikosesha mume lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…