Serious man needed baadae awe mume

Ni pm
 
Dada 'angu mpenz, hebu nenda kwa imamu wa msikiti wa karibu yako nina imani atakupatia mume bora
 
Asante mkuu maana kuna wengine wanaudhi

Huyo uliyem-quote alini-quote mimi. Sasa hofu yangu ni kama mimi ni mmojawapo waliokuudhi kwa kukuombea uwe single hadi mwaka mmoja uishe kisha nije mwenyewe kuleta posa??!!

Nia yangu ni njema kabisa...
 
Nataka nifungue Kampuni ya Udalali wa Kupata Wachumba mana hizi threads kila siku zinaongezeka ngoja nifuate taratibu zote za usajil wa kampun mpya
 
Huyo uliyem-quote alini-quote mimi. Sasa hofu yangu ni kama mimi ni mmojawapo waliokuudhi kwa kukuombea uwe single hadi mwaka mmoja uishe kisha nije mwenyewe kuleta posa??!!

Nia yangu ni njema kabisa...
[emoji23] [emoji23] kumbe ni ww
 
Hajazaliwa mtu kwa ajili yako! Kwa hiyo hizo conditions zako Inabidi uzae mtoto asiye na Baba umjaze hayo unayotaka then... Kwani ingelikuwa kuna shule ya kuandaa watu katika jambo hilo ungepata Mama! otherwise kubaliana na uhalisia! No body is perfect 100%
 
Kama hanywi pombe sasa huyo ni mtoto ama mgonjwa....mwanaume wa ukweli lazima unywe vitu vigumu japo mara moja moja.
 
ww ni muislaam, mbona unatoa vigezo viiiiingi namna iyo...
Ktk dini ya kiislaam mwanamke huolewa kwa vitu vinne yaan uzur wake,nasaba yake,dini yake,tabia

mwanamme huozeshwa kwa vitu 2..yaan tabia yake na dini yake..
n.b kama nmekosea mnisahihishe.

Mbona umetoa muongozo wako ili hali Mungu katoa mwongozo wake????
ok.. tusubir uko pm tunakuja.
 
Kama hanywi pombe sasa huyo ni mtoto ama mgonjwa....mwanaume wa ukweli lazima unywe vitu vigumu japo mara moja moja.
Kwa hao wanaume unao wasema wewe basi sio wote, japo Dini ya kiislamu kwa kitu kama hakiruhusiwi.
Na pombe sometime ndio chanzo ugomvi/mfarakano ktk mapenzi mpaka ndoa
 
Swadakta, naimani atakuelewa kwa ushauri huo, japo nahisi alishapitia kipindi kigumu ktk mahusiano ikamfikia hatua ya kuja na matakwa yake badala ya Mwenyezi Mungu.

Good point....!!!
 
Weka sura mama that's first impression for a man to a woman!
kuona sura ni jambo zur...ila ktk public kama hapa sio jambo jema labda umfuate pm akuoneshe..ila iwe siri yko usje ukaivujisha itakuwa sio ustaarab
 
Hayo maswali unaniuliza mimi unamuuliza dadako?? Sio lazima utoe comment afu maswali ya utumbo utumbo tu, mxiuuu
uspanic miss charming wawezakosa mume...
maswali mengne ni ya makusud na ya kukukera,lakin lengo sio kukukera ila mtu anakupima vitu ving ikiwemo busara zako,uvumilivu wako,subira zako hasa wakat wa maudhi.
hivyo kila comment ichukulie in positive way hapo itakusaidia na sio in negative way...
Lakin pia jokin haifai maana dada huyu yuko serious therefore she need also a serious one.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…