Serious man needed baadae awe mume

Sifa zote ninazo
Elimu dgre
Maji ya kunde
Mrefu
Mtu wa pwani
Nimeajiriwa
Sio mzinifu
Muislam safi-5prayer per day
Mvumilivu
35yrs
N.k
Ombi uwe mke wa pili
In shaa Allah
 
kwenye pombe napo ishu.....hivi vigezo vitawaponza....... muombe Mungu, mkabidhi huku wewe ukiongeza bidii...
 
Nimesoma sifa zote nina qualify lkn hiyo namba nane ...mmmh inahitaji amendment.
 
Hapo kwenye kufanya mapenzi mpaka baada ya ndoa ni mtihani mgumu.
Hama zako utakua unamaliza kwa ma-ex wako.
 

Nice comedy.
 
 
hajapatkanaga tu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…