serious man to build a family!

serious man to build a family!

habarini wana jf,kutokana na kila cku wanaume kuumiza wanawake nimeamua kutumia fursa hiii kumtafuta serious man ambaye atakuwa na hekima maarifa ya maisha na awe mcha mungu!welcom atakaye kuwa serious ntampa contact!

weka vigezo unavyovitahitaji, lakini toka mwezi January mpaka leo? Haujapata?
 
kwani mimi sijafahamu labda maana ya serious kwenye mada yake
 
Back
Top Bottom