Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PakaJimmy Nakuheshimu wewe acha kunizengua! Sasa haya marumbano!! kwani umeambiwa kuna kikomo cha kuoa kwa mwanaume?!
Reply will be to the serious needed only.
Nakuelewa sana bro. All I can say is POLE!Yoote tunayasema lakini ukweli uko palepale, kuoa mke mmoja hadi kumi hakukuanza leo! rejea katika vitabu vitakatifu. Heri wanaoyaweka mapungufu yao hadharani kuliko nyie mnaofanana na mtu anayejaribu kuficha kaa la moto mfukoni mwa suruali aliyoivaa, wenye maswahiba wapo wengi na kwa kila jinsia naamini kuwa wale walionielewa watanifuata.