Yoote tunayasema lakini ukweli uko palepale, kuoa mke mmoja hadi kumi hakukuanza leo! rejea katika vitabu vitakatifu. Heri wanaoyaweka mapungufu yao hadharani kuliko nyie mnaofanana na mtu anayejaribu kuficha kaa la moto mfukoni mwa suruali aliyoivaa, wenye maswahiba wapo wengi na kwa kila jinsia naamini kuwa wale walionielewa watanifuata.