SERIOUS:Mtaji wa laki 3 ninaweza fanya biashara gani Mbeya mjini.

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,198
Reaction score
3,580
Natanguliza shukrani na ombi kwa wasiotaka kuchangia waache,nimechaguliwa kujiunga na chuo cha sayansi na teknolojia cha mbeya(MUST),mimi ni kijana ninayejitegemea kwa kila kitu na nimetafuta ada ya kulipia semista ya kwanza na baada ya matumizi mengine nabakiwa na kiasi cha laki tatu tu ambayo nataka kuitumia kama mtaji wa kupata ada ya kuendelea kwa siku zijazo,kozi yangu ni ya kuanza darasa saa kumi jioni hivyo muda wa asubuhi mpaka mchana nataka kujishughulisha kupata fedha lakini mtaji wangu ndio huo tajwa hapo juu.

natanguliza shukrani kwa ushauri nitakaopewa.
 
Nunua matoroli au mkokoteni toroli kwa siku mtu anakuletea elf 4 cjajua huko kwa cku analeta sh ngap ila haiwez kupngua zaidi ya hapo nunua toroli 3
 
Nunua mkokoteni uwe unaukodisha
Shukrani kwa ushauri mzuri kwa Kijana wetu..Inshalah atafanikiwa Na kuweza kulipa Ada.Hongera zake.Sasa .Pia naomba unisaidie jambo Moja hivi..Mkiwa kwenye kikundi cha Kinamama kama Watu 26..Na.MNA cash Milioni 3.Je Ni biashara gani.kwa Dar mtaifanya Ili isilete mgogoro baadaye kwa Maana ya kuzaa faida Na.kuiboresha zaidi Na zaidi.Aksante kwa utangulizi Mkuu.
 
Nenda maduka ya mitumba wakakouza kwa mabelo,,,nenda uka-point nguo kali za sisterduu na brothermen halaf ukawauzie wanachuo wenzio chuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…