Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
Natanguliza shukrani na ombi kwa wasiotaka kuchangia waache,nimechaguliwa kujiunga na chuo cha sayansi na teknolojia cha mbeya(MUST),mimi ni kijana ninayejitegemea kwa kila kitu na nimetafuta ada ya kulipia semista ya kwanza na baada ya matumizi mengine nabakiwa na kiasi cha laki tatu tu ambayo nataka kuitumia kama mtaji wa kupata ada ya kuendelea kwa siku zijazo,kozi yangu ni ya kuanza darasa saa kumi jioni hivyo muda wa asubuhi mpaka mchana nataka kujishughulisha kupata fedha lakini mtaji wangu ndio huo tajwa hapo juu.
natanguliza shukrani kwa ushauri nitakaopewa.
natanguliza shukrani kwa ushauri nitakaopewa.