spongy
Member
- Feb 25, 2019
- 61
- 59
Kama tangazo linavojieleza, mimi nikijana mwenye umri wa miaka 28 nipo Mkoa wa Mbeya, Wilayani Chunya elimu yangu ni Degree ya Ualimu Physics and Mathematics, sijaajiriwa najishughulisha na kazi za Madini.
Naitaji mke mwenye umri kati ya 24-27 sifa awe mweupe mrefu wa wastani sio mnene wala mwembamba. Elimu Form Four awe tu mpambanaji mwenye kipaji hata cha kusuka nitampa mtaji. Ambaye yuko serious ani DM, sina utani kwenye hili nipo sereous kabisa