kipenga
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 219
- 55
Ninasoma B of Public Administration with record and Archivies Management BPA-RAM Kutokana na Masomo ninayosoma na kwa level niliyofikia nahitajika Kufanya reseach na kuandikia riport. Kunauwezekano nikafanya field TANESCO So kulingana na Course ninayoisoma na office nitakayo fanyia field nimepata idea ya kufanya reseach itakayo husiana nalalamiko ya wateja wa shirika la TANESCO juu ya swala zima la kubambikiwa bill zisozo na uhalisia na matumizi ya mteja husika ambayo inaweza ikasababishwa na kutokuwa na uhifadhi mnzuri (Records Managenment) wa nyaraka za malipo na mtiririko wake kwa pande zote mbili za mteja na mtoa huduma.
Kwa maelezo hayo mafupi ningependa kupata mawazo yako juu ya TOPIC or TITTLE ya research ambayo itahusiana na idea ya hapo juu na baadhi ya objectivies zitakazonipa muongoza.
Lugha iwe ya kiingereza (English)
Natanguliza shukran.