serious nataka kujua elimu ya uganda iko vipi high school

serious nataka kujua elimu ya uganda iko vipi high school

IamMrLiverpool

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
4,362
Reaction score
6,274
wakuu habari zenu
najua mpo vizuri naombeni kujuzwa elimu ya uganda ikoje kiundani zaidi
ubora wake upo wapi na matatizo yake yako wapi
 
Kwa ubora iko chini ukilinganisha na Tanzania, kama hutaki kusoma Tz basi nenda Kenya.
 
Back
Top Bottom