Hello,
I am a lady of 25 yrs old, nimeajiriwa In a private sector. Mrefu, mwembamba & maji ya kunde.
Ni mkristo (Anglican).
Natafuta mwanaume ambae atakuwa rafiki then mchumba na Mungu akijaalia awe mume.
Awe Mrefu, Rangi yoyote, Mkristo, mwajiliwa/ aliejiajir, akiwa na mtoto pia ni sawa, awe mkweli na serious kwa mahusiano, Age range ya 30-45.
Karibu PM