Serious relationship (Mume anahitajika)

Serious relationship (Mume anahitajika)

glory2

New Member
Joined
May 6, 2021
Posts
3
Reaction score
3
Naitwa Glory, nahitaji mahusiano serious ambayo yatapelekea ndoa

Sifa zangu:
.mkristo
.sina mtoto
.Mwajiriwa wa serikali
.Elimu yangu Shahada

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo:
.mkristo
.35-47
.asiwe mume wa mtu
.anaejishughulisha
 
Rafiki yangu anataka mchumba aoe.
Changamoto kubwa hayuko huku jf.

Fursa imempita hii dah[emoji849]

Mambo social network hanaga kabisa.

Lakini na yeye hataki watu wanaoshinda ktk mitandao[emoji849]

Aaaah basi acha iende
 
japo sijafikisha 35, niko serious i can be perfect choice kwako. pm tafadhali
 
Naitwa Glory, nahitaji mahusiano serious ambayo yatapelekea ndoa

Sifa zangu:
.mkristo
.sina mtoto
.Mwajiriwa wa serikali
.Elimu yangu Shahada

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo:
.mkristo
.35-47
.asiwe mume wa mtu
.anaejishughulisha
Kama una sifa hizi zifuatazo; Mzuri wa sura, umbo na tabia! Umri 30's! Mweupe au maji ya kunde! Mrefu wa wastani! Mpole, mnyenyekevu, mwaminifu, mvumilivu, mpenda maendeleo, mwenye upendo wa kweli, unajitambua, nk.

Basi unitafute haraka pm!
 
Sasa c usimame kanisani useme unahitaji mume na vigezo utaje
Kwani wacumba wote hupatikana kanisani , mahusiano huanza kiajabuajabu hakuna formular na sehemunyoyote waweza kupata ubavu wako

I gues huyu mchumba mtarajiwa ni mkatiliki na wakatoliki hawana taratibu za kusimama na kuomba wachumba altareni

I gues mchumba mtarajiwa ni mchagga

I gues mchumba mtarajiwa yupo hapa siku nyingi kwa id nyingine hii amefungua ya uchumba tuu hivyo tumpe support
 
Naitwa Glory, nahitaji mahusiano serious ambayo yatapelekea ndoa

Sifa zangu:
.mkristo
.sina mtoto
.Mwajiriwa wa serikali
.Elimu yangu Shahada

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo:
.mkristo
.35-47
.asiwe mume wa mtu
.anaejishughulisha
 
Naitwa Glory, nahitaji mahusiano serious ambayo yatapelekea ndoa

Sifa zangu:
.mkristo
.sina mtoto
.Mwajiriwa wa serikali
.Elimu yangu Shahada

Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo:
.mkristo
.35-47
.asiwe mume wa mtu
.anaejishughulisha
Kila laheri
 
Back
Top Bottom