Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,636
- 3,142
Miaka yako tafadhaliNaitwa Glory, nahitaji mahusiano serious ambayo yatapelekea ndoa
Sifa zangu:
.mkristo
.sina mtoto
.Mwajiriwa wa serikali
.Elimu yangu Shahada
Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo:
.mkristo
.35-47
.asiwe mume wa mtu
.anaejishughulisha