Serious..serious..!natafuta mke mtarajiwa!

Hahahahhahaha.......bwana weee....Bigie kanianza...kule inabidi nianze mimi alafu mi siwezi!!!


Usianze wewe,we binti mzuri,una akili,busara,hekima na unajua maisha,kama hakuoni....unampotezea tu na yeye....utapata malaika wako kama Hashy wangu....
 
Usianze wewe,we binti mzuri,una akili,busara,hekima na unajua maisha,kama hakuoni....unampotezea tu na yeye....utapata malaika wako kama Hashy wangu....



never felt up in the air before!
 

Mwaka wa tatu unaanza filimbi za kuoa? piga kitabu kwanza umalize shule utafute kazi acha haraka na maisha....Ujue bado we ni form 6 graduate? sina nia ya ku-underestimate elimu yako lakini nina wasiwasi kidogo na hii haraka yako ya ndoa.Ukizingatia kuwa mwaka wa tatu ni mwaka busy sana kimasomo...unatia shaka
 
Masharti yako ya kuchagua mikoa yamefanya ukose bahati ya kummiliki Firstlady.pamoja na sifa yenu ya kujinyonga,lakini nilishakuwa tayari bila kujali kama iko siku ungeniacha mjane .mie sifa zote ninazo ila hapo kwenye uvumilivu,iwe mengine sio dhiki na shida maana nijilinde kote na urembo kisha nkazeekee kwa mume,hapo siwezi kamwe.umepoteza bahati kubwa
 
Ndo ajue kweli mwanamke kapata!!!!
Hahahah....basi kue na duel kati ya Bigie na V tuone nani zaidi!!!

ha ha ha ha....ngoja nilifikirie ntakushauri asubuhi.....stay well Lizzy dear.
 

Pole yake mtoa mada....na ubaguzi wake.....kapoteza sana tu....
 
JF becoming a dating site?
 
hiyo ni mitaa anayoishi hashy, uporoto na ze zefinest. hiyo mitaa zikipita dakika 45 hajanadiwa mwizi basi ujue yesu anarudi siku hiyo. hehehe matajiri tunapeta kweli aisee.
Kheee Kheee Ankal business as usual
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…