Serious..serious..!natafuta mke mtarajiwa!

Ukianza kuchagua kabila tu unanikata stimu kabisa. Hata hivyo kwako siqualify maana mie kwetu kasikazini ambako hukutaki sijui sie tuolewe na nani yailah toba!!!!
 
Sijui nahisi kuna nyota ninayo ya kishetani.....maombi ndo muhimu......yaani kila nakogusa sio.....:laugh::laugh:
 
Sijui nahisi kuna nyota ninayo ya kishetani.....maombi ndo muhimu......yaani kila nakogusa sio.....:laugh::laugh:

Ngoja mfungo wa pasaka ufike....maombi yote tunaelekeza kwenye hilo swala!!!
 
Tokaaa pepo mbaya tokaaaaaaaaaaa katika jina la jf
 
baada ya kufumaniana....?
katika training ya kuwa kwalifaid bodigad wa mwanamke kuna kipengele wanaitaga "emotional temptation resistance test" kwa kifupi "etrt", hii unafanya bila kumzuru mwanamke. ndio hiyo nilikuwa nafanyaga. na michelle amepasi. hongera kaka hashy.
 
katika training ya kuwa kwalifaid bodigad wa mwanamke kuna kipengele wanaitaga "emotional temptation resistance test" kwa kifupi "etrt", hii unafanya bila kumzuru mwanamke. Ndio hiyo nilikuwa nafanyaga. na michelle amepasi. Hongera kaka hashy.

hongera hashycool una mke mwema na bodyguard makini.
 
hongera hashycool una mke mwema na bodyguard makini.

unajua nilikuwa nafikiria kuanzisha sredi ya kumpa hongera kaka hashy lakini kwavile amehuzuria hapa naona bora nimpongeze hapa hapa tu
 
unajua nilikuwa nafikiria kuanzisha sredi ya kumpa hongera kaka hashy lakini kwavile amehuzuria hapa naona bora nimpongeze hapa hapa tu

Haitoshi Kloro.....tumfanyie party ya ushindi na mimi nipongezwe,haikuwa rahisi......
 
mtu akisema niliangalia sura,atakuwa ananitafuta neno jamani.....ndo kupenda mtu alivyo......
 
Haitoshi Kloro.....tumfanyie party ya ushindi na mimi nipongezwe,haikuwa rahisi......
dah! kweli michelle haikuwa rahisi, kaka hashy ana kila sababu ya kujivunia uwepo wako pembeni yake. naomba na bodigadi apongezwe kwa kuweza kutimiza miko ya kazi.
 
dah! kweli michelle haikuwa rahisi, kaka hashy ana kila sababu ya kujivunia uwepo wako pembeni yake. naomba na bodigadi apongezwe kwa kuweza kutimiza miko ya kazi.

The Following User Says Thank You to klorokwini For This Useful Post:

Michelle (Today) :clap2::clap2::clap2:😛opcorn:😛opcorn:​
 
dah! jamaa ukimuita kibaka hupati zambi kabisa yaani.

Lakini ndo nimekufa nimeoza......:laugh::laugh:siambiwi,sisikii,sioni.....l.o.l hata Tandale kwa Fisi Guest House mi poa tu.....pampu ya Ugali hiyo.....lol
 
Lakini ndo nimekufa nimeoza......:laugh::laugh:siambiwi,sisikii,sioni.....l.o.l hata Tandale kwa Fisi Guest House mi poa tu.....pampu ya Ugali hiyo.....lol
kweli umeoza lakini tahazari na chawa mama, kuna species moja ya chawa inaharibu mpaka uzazi. na jamaa anaonekana anaexport chawa kabisa yaani.
 
dah! jamaa ukimuita kibaka hupati zambi kabisa yaani.

Sikubaligi atoke home mwenyewe,hawashindwi msingizia kibaka......kila sehemu mimi naye......hapo ka-improve kwa mema nayompa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…