seriously nahitaji msaada

seriously nahitaji msaada

nipper

Senior Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
104
Reaction score
28
Nina tatizo jamani naomba msaada,nikijipapasa katika kende zangu kuna kitu kama tezi hivi kwa ndani.Ninapofanya mapenzi natoa mbegu kidogo sana na zinatoka bila kasi ambayo nadhani zinatakiwa zitoke na nikifika mzunguko wa pili wa tatu au wa nne ndio natoa vitone kabisa.
 
thats fine but i want to have the possibilities before i jump to the following step. I know at the end of the day i had to check with doctors but i want to check them while nina kitu najua tayari kuhusu what it is.
 
Tatizo langu kwaambali linafanana na lako lkn niliamua kujipeleka kwa Dr. Mimi mwenyewe bila kushurutshwa kitu ambacho wanaume kazi kusukumiaga wanawake kuwa ndo wenye matatzo tu ya kutozaa! Lkn nilienda kwa lengo la kufanya 'SPERMS TEST'
kwaajili ya kuangalia wingi wake, na speed n.k
lkn baada ya kuulizwa why nafanya hvyo nilitoa maelezo mengi mno likiwemo la makende kuwa yanawasha mara kwa mara ktk joto
akanishauri nifanye kipimo kinachoitwa FULL BLOOD PICTURE(FBP) ambacho kitaonnyesha matatzo yote ya kwenye damu na hata huko kweny uzaz, nikakutwa na upungufu wa Blood Cells yaani
WBC _abnomal ziko chini
RBC_abnomal ziko chini na pia
PLT_ na nyewe hvyohvyo
kwahyo haya ya kiwa chini matatzo hayatakuisha swala zima la ejaculation lazima liwe down! Mpka sasa nimeandikiwa dose ndo natumia!!.
Kwa mf huo wangu nakushaur muone Dr.
 
Back
Top Bottom