Tatizo langu kwaambali linafanana na lako lkn niliamua kujipeleka kwa Dr. Mimi mwenyewe bila kushurutshwa kitu ambacho wanaume kazi kusukumiaga wanawake kuwa ndo wenye matatzo tu ya kutozaa! Lkn nilienda kwa lengo la kufanya 'SPERMS TEST'
kwaajili ya kuangalia wingi wake, na speed n.k
lkn baada ya kuulizwa why nafanya hvyo nilitoa maelezo mengi mno likiwemo la makende kuwa yanawasha mara kwa mara ktk joto
akanishauri nifanye kipimo kinachoitwa FULL BLOOD PICTURE(FBP) ambacho kitaonnyesha matatzo yote ya kwenye damu na hata huko kweny uzaz, nikakutwa na upungufu wa Blood Cells yaani
WBC _abnomal ziko chini
RBC_abnomal ziko chini na pia
PLT_ na nyewe hvyohvyo
kwahyo haya ya kiwa chini matatzo hayatakuisha swala zima la ejaculation lazima liwe down! Mpka sasa nimeandikiwa dose ndo natumia!!.
Kwa mf huo wangu nakushaur muone Dr.