Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
jamani ambaye anajua mdogo wangu huyu yuko wapi anipe majibu......
mara ya mwisho kwenye uzi wake wa kummwaga lecturer sikuweza kuongea naye nikasema nitamtafuta siku nyingine.
kwenye uzi wa KakaKiiza, sijui waliishiana wapi maana hata sijaona kama amu alitia jibu pale au la....
nimejaribu kumwuliza KakaKiiza naye inaonekana hajui aliko.....
najaribu kuwaza au yale mashambulizi ya rafiki zangu snowhite na gfsonwin yamemkimbiza jf?
jamani anayejua uwepo wake huyu mdogo wangu chonde chonde anifikishie salamu kuwa dada mkubwa anammiss mno, natamani kuongea naye kidogo jamani.....

Last edited by a moderator: