Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,955
Halafu wewe......
............huniwezi mie!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wewe......
huyo kipenzi chako Raiza mfungulie uzi mwingine shem....
usichakachue huu wa kumtafuta mdogo wangu amu...... chonde
huyo kipenzi chako Raiza mfungulie uzi mwingine shem....
usichakachue huu wa kumtafuta mdogo wangu amu...... chonde
Asante sana rafiki, nasubiriSubiri nilete mchoro wake @fp
najua kuwa kupitia thrad yako atapata ujumbe wangu
Umefurahishwa na nini rafiki?Ha ha ha!!
Is unajua watu wanavyochakachua nyuzi za watu? Ukianzisha basi kila mtu atakuja kutafuta wake hapa
atakayechakachua nampiga ban
Kafichwa na Nicas Mtei .
Loading...
Namimi natafuta wangu...
unanijaribu ee?
Kafichwa na Nicas Mtei .
kumbe shem unaniangalia tu badala ya kuniambia?sasa wewe mbona unatoa siri za jeshi?