Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
FP nipe hela nianzishe msako...😎jamani ambaye anajua mdogo wangu huyu yuko wapi anipe majibu......
mara ya mwisho kwenye uzi wake wa kummwaga lecturer sikuweza kuongea naye nikasema nitamtafuta siku nyingine.
kwenye uzi wa KakaKiiza, sijui waliishiana wapi maana hata sijaona kama amu alitia jibu pale au la....
nimejaribu kumwuliza KakaKiiza naye inaonekana hajui aliko.....
najaribu kuwaza au yale mashambulizi ya rafiki zangu snowhite na gfsonwin yamemkimbiza jf?
jamani anayejua uwepo wake huyu mdogo wangu chonde chonde anifikishie salamu kuwa dada mkubwa anammiss mno, natamani kuongea naye kidogo jamani.....
kijacho alitoka nacho kwa lecturer au cha huyo mpenzi mpya?amu nilikutana nae clinic, anacheki cheki makuzi ya kijacho
amu nilikutana nae clinic, anacheki cheki makuzi ya kijacho
kijacho alitoka nacho kwa lecturer au cha huyo mpenzi mpya?
ha ha ha mwezi umepita? eee machunguya talaka yameisha eeee
ukimwona basi mmuvuzishe huku aje atolee jibu hili.... sawa rafiki?naona tumuulize mwenyewe, kama ni ya lecture au naniliyu...
ha haaa, kazi ipo kwa kweli....
nitashukuru sana mdogo wangu.....mbona yupo dada mkubwa!
mtafute tu utampata!
pole kwa kummisss nikikkutana nae nitamfikishia salamu amu!
ukimwona basi mmuvuzishe huku aje atolee jibu hili.... sawa rafiki?
vyovyote vile nitafurafi,ngoja nimuite aje, au ngoja nikutumie namba yake